Ayatollah Reza Ramezani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul_Bayt (AS), alitoa hotuba muhimu katika mkusanyiko huo iliyohusiana na Mnasaba huo.

13 Septemba 2025 - 17:10

Picha: Sherehe za Kuzaliwa Mtume na Kumbukumbu ya Viongozi wa Kishia wa Pakistan Waliokuwa Marehemu Qom

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la AhlulBayt (AS) -ABNA- Hafla ilifanyika katika ukumbi wa chini ya ardhi wa Chuo cha Dini cha Feyziyeh mjini Qom kwa ajili ya kusherehekea kumbukumbu za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (rehema na amani zimshukie na Aali zake) na Imam Ja’far Sadiq (a.s), wanaojulikana kwa pamoja kama Sadiqain - Wasemwa kweli Wawili.”

Katika hafla hiyo lilifanyika pia tukio la kuheshimu na kuenzi kumbukumbu ya viongozi wa Kishia wa Pakistan ambao ni Marhumina kwa sasa, Shahidi Arif Hussaini na Mufti Jafar Hussain.

Ayatollah Reza Ramezani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul_Bayt (AS), alitoa hotuba muhimu katika mkusanyiko huo iliyohusiana na Mnasaba huo.

Your Comment

You are replying to: .
captcha