Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA-: Sambamba na kuanza kwa Mwezi wa Mehr (Mwezi wa saba kwa mujibu wa Kalenda ya Iran - Hijria Shamsiya -) na mwaka mpya wa masomo, Ayatollah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, usiku wa leo Jumanne, tarehe 1 Mehr 1404 Hijria Shamsiya (23 Septemba, 2025), alilihutubia Taifa la Iran kupitia Televisheni ya Kitaifa.

24 Septemba 2025 - 09:12

Your Comment

You are replying to: .
captcha