Somo hili la Fiqh kwa Vitendo ni miongoni mwa masomo muhimu sana kwa Waislamu, kwani huwasaidia kuelewa kwa undani taratibu za kifiq kupitia mafunzo ya vitendo, jambo linalorahisisha kujifunza na kukumbuka kwa muda mrefu.
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-limeripoti kuwa leo, Jumatatu, tarehe 06 Oktoba 2025 (saa 1:00 asubuhi), somo muhimu la Fiqh lililohusu jinsi na namna ya kumkafini maiti limefanyika katika Chuo cha Jamiat Al-Mustafa (s) kilichopo Mbezi Beach, Dar es Salaam - Tanzania, chini ya uongozi wa Sheikh Ridhwan Pingili.

Your Comment