Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- , tukio la kitaifa “Iran ya Moyo Mmoja (Iran Hamdel)” lililokuwa hadithi ya umoja na mshikamano wa wananchi wa Iran kuanzia enzi za janga la Korona hadi upepo wa “Tufan al-Aqsa” na vita vya siku 12 dhidi ya utawala wa Kizayuni, limefanyika siku ya Jumanne, tarehe 7 Oktoba 2025 katika Husayniyya ya Imam Khomeini (r.a). Hafla hiyo ilihudhuriwa na familia za mashahidi wa vita vya siku 12, wanaharakati wa kijamii na kijihadi, pamoja na baadhi ya sura mashuhuri za harakati za mapambano (Muqawama).

8 Oktoba 2025 - 12:13

Habari Pichani | Tukio la Kitaifa “Iran ya Moyo Mmoja” katika Husayniyya ya Imam Khomeini (r.a)

Your Comment

You are replying to: .
captcha