Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Sambamba na kuadhimisha siku za Fatimiyya, maonyesho ya kumi na tano ya “Basirat Fatimiyya” yameanza kufanyika kwa kuonesha tamthilia kuhusu dhulma, madhila, masaibu na upweke wa Bibi Fatima Zahra (S.A). Maonyesho haya yameandaliwa na kundi la kijihadi la “Roshd” kwa ajili ya kueneza elimu na maarifa sahihi ya kidini.
17 Novemba 2025 - 21:15
News ID: 1751445

Your Comment