Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - Hafla ya Siku ya Basiji ilifanyika leo asubuhi Jumatano (26-11-2025) kwa kuhudhuriwa na maelfu ya wanabasiji kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, ikiambatana na kumbukumbu ya kuundwa kwa Basiji ya Wanyonge, katika Husayniyya ya Imam Khomeini (r.a.)
28 Novemba 2025 - 17:09
News ID: 1754964

Your Comment