Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Mkutano wa Kimataifa wa Diplomasia na Muqawama katika Shule ya HajI Qasem ulifanyika kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka sita tangu kuuawa shahidi Luteni Jenerali Haj Qasem Soleimani, siku ya Jumatatu tarehe 29 Desemba 2025, kwa ushiriki wa Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje, pamoja na idadi ya viongozi waandamizi wa kisiasa, wataalamu wa taasisi za utafiti (think tanks), na wasomi wa vyuo vikuu. Mkutano huo ulifanyika katika Kituo cha Tafiti za Kisiasa na Kimataifa cha Wizara ya Mambo ya Nje.
31 Desemba 2025 - 23:32
News ID: 1768404
Your Comment