Tarehe 27 ya mwezi wa Rajab katika kalenda ya Hijria Qamaria (17 Januari 2026), ilikuwa siku tukufu ya Maba’ath, siku ambayo Muhammad (SAW) aliteuliwa na Mwenyezi Mungu kuwa Mtume Wake wa mwisho.
Katika siku hii yenye baraka na kumbukumbu ya utume ulioleta nuru kwa ulimwengu, tunageuza macho yetu kuelekea Msikiti wa Mtume mjini Madina, tukitazama mandhari yake yanayobeba historia, utulivu na heshima ya kiroho kwa Waislamu duniani kote.



































Your Comment