Sheikh wa Mkoa wa Tabora (T.I.C), Sheikh Swahibu Shabani, amehudhuria Baraza la Eid lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanawake wa BAKWATA Tabora, akisisitiza umuhimu wa umoja na ushirikiano miongoni mwa Waislamu.
30 Mei 2026 - 16:00
News ID: 1820348
Kwa Mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA -, Sheikh wa Mkoa wa Tabora (T.I.C), Swahibu Shabani, kupitia Jumuiya ya Mashia Tanzania, leo Mei 30, 2026, alihudhuria Baraza la Eid lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanawake wa BAKWATA mkoani Tabora.
Ushiriki wake katika hafla hiyo umeelezwa kuwa sehemu ya kuimarisha mshikamano, maelewano na ushirikiano kati ya taasisi na jumuiya mbalimbali za Kiislamu katika mkoa huo, sambamba na kuendeleza spirit ya umoja na udugu miongoni mwa Waislamu.
Your Comment