Ibada ya kusaliwa kwa swala ya marehemu (swala ya janaza) juu ya mwili wa kiongozi shahidi wa mapinduzi ilifanyika asubuhi ya Jumatatu (Julai 5, 2026) kwa kuhudhuriwa na maafisa, watumishi wa nchi na tabaka mbalimbali za watu katika msala wa Imam Khomeini mjini Tehran, ikiwa imeongozwa (kama imam) na Ayatollah Ja'far Subhani.
Your Comment