Mashia wa kusini mwa Lebanon kusherehekea ushindi wa Rais Bashar al-Assad

7 Juni 2014 - 12:50

shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA:barabara za mbali mbali za Binti Jubail kusini mwa Lebanon jana vilionekana vikundi vya wananchi wakisherehekea ushindi wa Rais Abashar al-Assad, wafuasi wa madhehebu ya kishia na wapenzi na wakerereketwa wa Hizbullah na Muqawama wa kiislamu wakiwa wameshika picha ya Bashar na bendera ya Syria,