Kikundi cha magaid wa Daesh katika kuendeleza mipango yao ya kutengeneza dola la kiislamu la Iraq na Syria, wamefungua kutuo cha polisi.
18 Septemba 2014 - 21:37
Msimbo wa Habari: 638646
Kikundi cha magaid wa Daesh katika kuendeleza mipango yao ya kutengeneza dola la kiislamu la Iraq na Syria, wamefungua kutuo cha polisi.
kituo hicho cha polisi kimefunguliwa katika mji wa Nainawa Iraq. polisi hao wanajiita Polisi wa kiislamu.
Polisi hao wameshaanza kufanya kazi zao katika mji wa Nainawa wakiwa na sale boti na magari yao rasmi yenye nembo yao.