Hizi ni picha za rais wa Venezuela Mh: Nicolas Madurokatika mkutano wake na kiongozi muadhamu wa mapinduzi ya Iran Sayyid Ali Khamenei, Venezuela na Iran zimekuwa na mahusiano mazuri kwa muda mrefu hasa katika kipindi cha urais wa Mahmud Ahmad Nejad wa Iran na hayati Hugo Chaves wa Venezuela.
10 Januari 2015 - 19:40
News ID: 663946