Polisi na waokozi wa Ufaransa wanaendelea kuitafuta miili ya watu walipoteza maisha katika ajali ya ndege ya Shirika la Ujerumani iliyotokea katika eneo la milima ya Alps Ufaransa.
25 Machi 2015 - 11:09
Msimbo wa Habari: 678869