Sherika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: wafuasi wa AhlulBayt (a.s) wanaoishi katika mji wa Rio de Janeiro nchini Brazil wamefanya sherehe ya kuazimisha mazazi ya kuzaliwa Mtume mtukufu Muhammad (s.a.w.w) katika nchi hiyo.
15 Desemba 2016 - 14:27
Msimbo wa Habari: 798400