Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali mashambulizi mapya ya utawala wa Israel dhidi ya miundombinu ya kiraia ya Yemen na kuendelea kutoadhibiwa kwa Tel Aviv kutokana na ukatili unaofanyika kwa msaada endelevu wa Marekani.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali mashambulizi mapya ya utawala wa Israel dhidi…