source : Abna
Jumatano
17 Julai 2024
21:32:41
1472748
Maombolezo ya Wanawake na Mabinti nchini Tanzania + Picha na Video
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt - ABNA - Wanawake na Mabinti wa Kitanzania walionesha jukumu lao katika kumfuata Hadhrat Zainab (sa) na Kaka yake Hadhrat Imam Hussein (as) kwa kuliweka hai (kulihuisha) Tukio la Karbala. Wamethibitisha kwamba njia ya Hadhrat Zainab (sa), ambayo ni njia ya busara na ubinadamu, itaendelea.