
3 Oktoba 2024 - 20:34
News ID: 1491349

Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Nyakati za wasoma nauha na mashairi ya kuwasifu Ahlul-Bayt (a.s) na watu wengine katika mkusanyiko mkubwa wa "Labbbaik Yaa Khamenei" uliofanyika katika Haram ya Hadhrat Maasoumah (s.a), Qom - Iran.
