source : Abna
Jumapili
24 Novemba 2024
16:31:38
1507648
Video | Utawala wa Kizayuni umeharibu Msikiti Kusini mwa Lebanon kwa kutumia tingatinga
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Vikosi vya utawala ghasibu wa Kizayuni vimeharibu / vimebomoa Msikiti mmoja katika eneo la Tayir Harfa, lililoko katika Mji wa Tiro Kusini mwa Lebanon, kwa kutumia tingatinga na mashine yenye vifaa vizito.