Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Brigedia Jenerali Hussein Mohabbi, amesema uchunguzi umebaini kuwa uharibifu wa jengo la abiria la Uwanja wa Ndege wa Kuwait ulisababishwa na hitilafu ya mfumo wa ulinzi wa Patriot wa Marekani baada ya kushindwa kuzuia makombora ya Iran, na si kutokana na shambulio la moja kwa moja la Iran.
Ndege hiyo ilitangaza hali ya dharura muda mfupi baada ya kupaa, lakini mawasiliano yakakatika haraka.Picha zilizotumwa mtandaoni zinaonyesha moshi mkubwa ukifuka kutoka eneo la ajali.