Geneva
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema makubaliano na Marekani yako “karibu kufikiwa”; Trump asema anapendelea diplomasia
Abbas Araghchi amesema makubaliano na Marekani yako karibu kufikiwa ikiwa diplomasia itapewa kipaumbele, huku Donald Trump akisisitiza kuwa anapendelea mazungumzo badala ya vita.
-
Abbas Araghchi: Makubaliano Yanawezekana Ikiwa Diplomasia Itapewa Kipaumbele
Abbas Araghchi amesema kuwa mazungumzo kati ya Iran na Marekani yataanza tena mjini Geneva kwa kuzingatia makubaliano ya awali, akisisitiza kuwa Tehran ina nia ya dhati ya kufikia makubaliano ya haki haraka iwezekanavyo. Ameeleza kuwa Iran haitafuti silaha za nyuklia, lakini haitakubali kunyimwa haki yake ya kutumia teknolojia ya nyuklia kwa malengo ya amani, akibainisha kuwa huu ni “wakati wa kihistoria” wa kutatua wasiwasi wa pande zote kupitia diplomasia.
-
Abbas Araghchi: Makubaliano yako karibu iwapo diplomasia itapewa kipaumbele
Abbas Araghchi amesema kuwa makubaliano kati ya Iran na Marekani yako ndani ya mfukoni iwapo diplomasia itapewa kipaumbele, akisisitiza kuwa Iran haitafuti silaha za nyuklia lakini haitarudi nyuma katika haki yake ya teknolojia ya amani ya nyuklia.
-
Mazungumzo ya ngazi ya pili yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani imeendelea Siku ya Jumanne huko Geneva, Uswisi
Raundi ya pili ya mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani imefanyika Siku ya Jumanne katika Ubalozi wa Oman uliopo mjini Geneva, Uswisi. Mazungumzo haya yanafanyika katika hali ambayo bado kuna ukosefu wa imani, unaotokana na kile kinachoelezwa kuwa ni misimamo na tabia zinazokinzana kutoka upande wa Washington—hali ambayo inaendelea kuwa moja ya changamoto kuu katika mchakato huu wa mazungumzo.
-
Ripoti kuhusu mazungumzo ya Iran na Ulaya Mjini Geneva
Awamu ya pili ya mazungumzo ya pande mbili itaendelea baada ya awamu hii ya kwanza kumalizika.