Hongera

  • Sayyid Khamenei: Kiongozi Aliyesimama Kidete Dhidi ya Ubeberu wa Kimataifa

    Sayyid Khamenei: Kiongozi Aliyesimama Kidete Dhidi ya Ubeberu wa Kimataifa

    Baada ya hatua thabiti na za kishujaa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya kambi za kijeshi za Israel na Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati, dunia iliamka asubuhi ikiwa inazungumzia wasifu mpya wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatollah Sayyid Ali Khamenei—kiongozi wa kiroho aliyeonesha ujasiri, busara na msimamo usiotetereka mbele ya madola ya kibeberu.