Iran imejiweka kwenye orodha ya mataifa 9 duniani yaliyofanikiwa kubuni, kutengeneza na kurusha satelaiti yake kwa uwezo wa ndani kabisa.