Serikali ya Iraq imekataa kuongezwa kwa muda wa uwepo wa baadhi ya vikosi vya Muungano wa Kimataifa baada ya tarehe 8 Oktoba, ikisisitiza kuwa muda uliowekwa wa kukamilisha misheni ya muungano huo ni wa mwisho na hauwezi kubadilishwa.
Mkuu wa Mamlaka ya Mahakama ya Iran, Hujjatul-Islam wal-Muslimin Gholam-Hossein Mohseni Ejei, ameongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa mahakama kuelekea New Delhi, India, kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Mamlaka za Mahakama wa nchi wanachama wa BRICS.