Moja ya vipengele vya ulimwengu huu ni utashi wa mwanadamu, na moja ya vipengele vya mfumo huu wa sheria na maelekezo ya Mwenyezi Mungu ni uhuru wa mwanadamu. Kwa hiyo, uhuru ni haki. Tuliangalie suala la uhuru kwa mtazamo huu: uhuru ni haki inayokabiliana na batili.
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Iran, Admiral Shahram Irani, amesema vikosi vya Iran viko tayari kukabiliana na adui na vina uwezo wa kuzima uwezo wake wa kiutendaji katika eneo lolote litakapohitajika.