Wameshindwa

  • Jeshi la Sepah la Iran: Maadui Wameshindwa, Taifa Liko Imara

    Jeshi la Sepah la Iran: Maadui Wameshindwa, Taifa Liko Imara

    Jeshi la Mapambano la Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetaja kushindwa kwa maadui wa Iran katika miongo 47 iliyopita kama ishara ya nguvu, mshikamano wa taifa, na uangalifu wa wananchi. Taarifa hiyo pia inakumbusha changamoto za vikwazo na kipindi cha utegemezi, huku ikihimiza wananchi kushiriki kwa wingi katika maandamano ya kitaifa ya 22 Bahman.