dini,uslamu,ukristo,uyahudi

  • JE KUNA UMUHIMU WA KUWEPO DINI?

    Sehemu ya pili

    JE KUNA UMUHIMU WA KUWEPO DINI?

    Katika harakati zote za kidini tangu enzi za manabii, mpaka hivi sasa, kumewepo na wapinzani wa dini, wapinzani wa dini wamekuwa na hoja mbali mbali katika upinzani huo. Wapinzani wa dini tunaweza kuwagawanya katika makundi mawili. Wapinzani wa dini wa zamani (enzi za manabii) na wapinza wa dini wa sasa