kuchelewesha

  • Kiongozi jasiri na taifa imara la Iran vitashinda njama za Marekani

    Kiongozi jasiri na taifa imara la Iran vitashinda njama za Marekani

    Hassan Fadlallah, mwakilishi wa Hezbollah katika Bunge la Lebanon, amesema kuwa kiongozi jasiri na taifa imara la Iran watafanikiwa kushinda njama za Marekani. Amesisitiza pia kuwa uchaguzi wa Bunge la Lebanon utafanyika kwa wakati wake wa kisheria bila kuahirishwa, na kwamba juhudi zozote za nje za kuingilia mchakato huo hazitafanikiwa.