wanatafuta

  • Trump: Lazima tufanye uamuzi mkubwa kuhusu Iran

    Trump: Lazima tufanye uamuzi mkubwa kuhusu Iran

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa Washington inapaswa kuchukua “uamuzi mkubwa” kuhusu Iran, akieleza kuwa hatua hiyo si rahisi. Kwa mujibu wa ISNA, Trump alidai kuwa Iran imehusika na mauaji katika kipindi cha miaka 47 iliyopita na kusisitiza kuwa makubaliano yoyote yanapaswa kuwa yenye maana, huku akisema angependelea suluhu ya amani.