-
Ripoti ya Kina ya Mkutano wa 3 wa Kimataifa wa Wanahabari wa AhlulBayt(as)kwa Ushiriki wa Wanahabari kutoka zaidi ya nchi 20 za Afrika +Picha na Video
Sambamba na Siku Kumi za Karama (The Ten Days of Karama), Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa 'Waandishi wa Habari wa Ahlul-Bayt (a.s)' umefanyika leo Alhamisi asubuhi, tarehe 1 Mei, 2025), katika ukumbi wa mikutano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) Mjini Qom, kwa Ushiriki wa Wanaharakati wa Habari na Wasomi kutoka Iran na Bara la Afrika.
-
Pakistan yaonya kuhusu mashambulizi ya India, yaapa kutoa majibu ya Kijeshi
Msaidizi mkuu wa Waziri Mkuu Shehbaz Sharif wa Pakistan ameonya kwamba shambulio la jeshi la India linaweza kuwa karibu, akisema Pakistan iko tayari kujibu kwa nguvu na kwamba silaha zake "sio za kuonyeshwa kwenye makumbusho."