-
Mlipuko Pakistan Waacha Wanne Wakiwa Wamekufa na 11 Kujeruhiwa
Mlipuko wa bomu kaskazini-magharibi mwa Pakistan umesababisha vifo vya watu wanne na kujeruhiwa 11.
-
Uwezekano wa Kuvunja Mkataba wa Kusitisha Mapigano: Je, Vita Vitaanza Tena?
Je, vita kati ya Iran na Israel vitaanza tena? Hili ni swali ambalo limekuwa likizungumzwa sana siku za hivi karibuni. Pamoja na uwezekano wa kuvunjwa kwa mkataba wa kusitisha mapigano, inaonekana uwezekano wa kutokea kwa vita vikubwa katika siku za usoni ni mdogo, lakini mvutano kati ya pande hizo bado unaendelea na unaweza kusababisha mkwamo katika mpango wa nyuklia wa Iran.
-
Associated Press: Wakaguzi wa IAEA Bado Wapo Iran
Shirika la habari la Marekani limemnukuu mwanadiplomasia akisema kwamba wakaguzi wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki (IAEA) bado wapo Iran na Tehran bado haijawaomba kuondoka nchini humo.
-
Qalibaf: Katika Vita vya Siku 12 Tulifanya Anga na Nchi Kuangukia Juu ya Adui
Spika wa Bunge la Kiislamu, akisema kwamba nguvu za makombora za Iran ziliifanya Iron Dome kutokuwa na ufanisi, alisema: "Adui wa Kizayuni hataweza kamwe kusimama dhidi ya haki na ukweli, na kamwe hataweza kuzima nuru ya Mungu."
-
Kukashifiwa kwa Mashambulizi dhidi ya Vifaa vya Petrokimia na Kemikali za Iran
Katika kikao maalum cha Baraza Kuu la Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) huko The Hague, shambulio la utawala wa Kizayuni dhidi ya vifaa vya kemikali vya nchi yetu lililaaniwa.
-
Moja ya Matukio Muhimu Katika Ratiba za Mwezi wa Muharram Katika Masjidul Ghadir ni Hafla ya Kupandisha Bendera ya Imam Hussein (as) + Picha
Kupandishwa kwa Bendera hiyo ni ishara ya msimamo wa milele wa haki dhidi ya dhulma, na ni mwaliko kwa Waumini kujiandaa kuhudhuria katika Majalisi, kushiriki katika kuandaa Mashairi, na khutba mbalimbali zinazobainisha ujumbe wa Karbala na mafundisho ya Imam Husein (a.s).