Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (A.S) - Abna - Ibada ya kusoma Quran Tukufu "Maidah Noor" hasa kwa Wanawake wenye umri wa zaidi ya miaka 25, imefanyika pia kwa mwaka huu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kutokana na juhudi za zaidi ya watumishi 40 wa Idara ya Utamaduni ya Masista wa Haram Tukufu ya Bibi Yetu wa Karama, Fatima Maasoumah (S.A) ambapo inafanyika kuanzia saa 0:00 kamili za mchana kila siku moja kwa moja kutoka katika Haram hii Tukufu ya Bibi wa Karama , Hadhrat Maasoumah (S.A).

13 Machi 2025 - 15:14

Your Comment

You are replying to: .
captcha