Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Gavana wa Qom, Akbar Behnamjo, pamoja na kundi la Manaibu Magavana na wasimamizi wakuu wa jimbo hilo, katika hafla ya mwanzo wa mwaka mpya, walihudhuria nyumbani kwa Ayatollah Al-Udhma Javadi Amoli katika Mji wa Qom, na walikutana na kuzungumza na Marjii Taqlid huyu wa Ulimwengu wa Shia.
22 Machi 2025 - 14:45
News ID: 1544141
Your Comment