Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (as) - Abna - Mapema asubuhi ya leo (Jumatatu), mashambulio ya anga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya hema la Waandishi wa Habari karibu na Nasser Medical Complex katika Mji wa Khan Yunis, Kusini mwa Ukanda wa Gaza, yamesababisha kuuawa Shahidi Mwandishi wa Habari wa Kipalestina na kujeruhi watu wasiopungua sita.

7 Aprili 2025 - 18:46

Habari Pichani | Jeshi la wavamizi la Wazayuni limeshambulia hema la Waandishi wa Habari huko Gaza

Your Comment

You are replying to: .
captcha