Kulingana na Ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (as) -ABNA- , sherehe za kuadhimisha shahada ya Imamu Muhammad Baqir (as) zilitangazwa katika Hawza ya Kidini ya Risalat Mjini Kabul, zikihudhuriwa na Ayatollah Salihi pamoja na baadhi ya wanachama wa Baraza la Wanafunzi wa Shia wa nchini Afghanistan.
3 Juni 2025 - 16:21
News ID: 1695176
Your Comment