Kongamano la kiislamu kuhusu magaidi wanaochafua jina la uislamu
Kongamano la kimataifa dhidi ya Takfir na Magaidi wa Daesh
Picha hizi zinahusiana na kongamano la kimataifa lilikusanya wanazuoni kutoka nchi mbalimbali dunia, kwa ajili ya kujadili madhara na jinsi ya kukabiliana na makundi ya Takfir,Daesh na wanaochafua jina la dini tukufu ya uislamu.
23 Novemba 2014 - 13:22
News ID: 653354