Daesh

  • Misri yamfukuza balozi wa Qatar

    Misri yamfukuza balozi wa Qatar

    Misri imetoa masaa 48 kwa balozi wa Qatar kuondoka nchini humo na kuwaita nyumbani wawakilishi wake waandamizi waliopo Doha. Hii ni kulingana na duru za wizara ya masuala ya kigeni ya Misri Mwito huu unafuatia hatua ya mataifa kadhaa ya Kiarabu, kutangaza kukata ushirikiano wa kidiplomasia na Qatar.