Hizi ni picha zinachoonyesha Mamilion ya waislamu hasa wa dhehebu la Shia, wakielekea Karbalaa kufanya ziara na kuadhimisha arobain ya Husein mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w aliyeuawa kikatili. watu hawa wanakwenda Karbalaa bila kujali vitisho vya magaidi wa Daesh
11 Desemba 2014 - 20:27
Msimbo wa Habari: 657623