Hizi ni picha za makomando wa Hizbollah wakiwa katika kudumisha ulinzi katika maeneo matukufu ya Haram ya Hazarat Zainab na Hazarat Ruqayyah na maeneo mengine matukufu ya Mashia huko Syria, makomando hawa pamoja na kushadidi barafu na baridi kali lakini hawafumbii macho suala la ulinzi na kukabiliana na magaidi wa Daesh.
15 Januari 2015 - 19:32
News ID: 665086