Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kufuatia mnasaba wa kuzaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) waislamu wa Thailand wamefanya semina walioipa jina la “Muhammad (s.a.w.w) ni rehema kwa walimwengu” ambapo semana hiyo imehudhuriwa na shahsia mbalimbali miungoni mwa wafuasi wa madhehebu ya Shia na Sunni katika mji wa Bangkok nchini humo
15 Desemba 2016 - 15:00
Msimbo wa Habari: 798407