Watu wapatao 20 wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia mashambulizi ya magaidi wa kikristo wa Anti Balaka huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Vurugu za kidini zimeanza tena Afrika yakati baada ya kutokea sintofahamu kati ya wakristo na waislamu.