9 Oktoba 2014 - 16:09
Machafuko yaanza tena Afrika yakati

Vurugu za kidini zimeanza tena Afrika yakati baada ya kutokea sintofahamu kati ya wakristo na waislamu.


Vurugu za kidini zimeanza tena Afrika yakati baada ya kutokea sintofahamu kati ya wakristo na waislamu.
katika sintofahamu hii iliyotokea katika mji mkuu wa nchi hiyo Bangui, kumeripotiwa kuuawa watu watano na wengine kujeruhiwa.
Ni muhimu kuashiria kwamba mwishoni mwa mwaka jana, kundi la Kikristo lenye itikadi kali, lilifanya mauaji ya kinyama dhidi ya waislamu wa nchi hiyo, ambapo wengine walichomwa moto wakiwa hai, wengine waliuawa kwa mapanga, mawe na silaha za moto, pia kundi hilo la kikristo lilipora mali za waislamu hao.
katika unyama huo uliofanywa na kundi la kigaidi la kikristo la Anti baraka zaidi ya watu elfu tano walipoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa na wengine kukimbia kabisa makazi yao.

Lebo