Rais wa Mahakama ya Juu ya Iran amemtembelea Ayatollah Al-Udhma Nouri Hamedani kwa lengo la kumjulia hali na kufahamu kuhusu afya yake.