Mwanachama wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Elimu ya Kiislamu ya Qom amesema kuwa ibada za mazishi ya Kiongozi aliyefariki akiwa shahidi katika maeneo mbalimbali ya nchi zimegeuka kuwa jukwaa la umoja, mshikamano na kuhuisha ahadi ya utii kwa Mapinduzi ya Kiislamu.
Amesisitiza kwamba: “Trump na Netanyahu hawatakuwa na usingizi wa amani.”
Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami amesema Rais Donald Trump na Benjamin Netanyahu watakabiliwa na jibu kali na la uthabiti iwapo wataendelea na uchokozi dhidi ya Iran.