Wamarekani wamemchagua Donald Trump kuwa rais wa 45 wa nchi hiyo. Ameshinda kwa wajumbe 276 ambapo clintoni kapata wajumbe 218 za wawakilishi wa majimbo.
Maafisa wa shirika la FBI nchini Marekani, wanachunguza barua pepe za siri ambazo mgombea huyo alizitumia kwa anuani yake binafsi na kutafuta ushahidi wa uhalifu dhidi ya Hillary Clinton katika uchunguzi unaokabiliwa na shinikizo kubwa siku saba kabla ya uchaguzi wa urais wa Marekani.