9 Novemba 2016 - 08:46
Donald Trump ashinda uchaguzi wa Rais wa Marekani

Wamarekani wamemchagua Donald Trump kuwa rais wa 45 wa nchi hiyo. Ameshinda kwa wajumbe 276 ambapo clintoni kapata wajumbe 218 za wawakilishi wa majimbo.

Shirika la habari la ABNA linaripoti kuwa: Wamarekani wamemchagua Donald Trump kuwa rais wa 45 wa nchi hiyo. Ameshinda kwa  wajumbe  276  ambapo clintoni kapata wajumbe 218 za wawakilishi wa majimbo. Rais mteule Trump ameweahutubia wafuasi wa chama chake na wamarekani kwa jumla. Mgombea wa chama cha Democrats Hillary Clinton amekubali kuwa ameshindwa na ameshazungumza kwa simu na Donald Trump kumpongeza.

Ikumbukwe kuwa Trump aliahidi kubadilisha mambo mengi katika sekta za uchumi na maisha wa wamarekani pia aliahidi kupambana na ubaguzi unaokithiri nchini humo.

Mwisho wa habari/ 291

Tags