Trump
-
Ukraine Yashambulia Makaazi ya Putin kwa Ndege Droni 91 / Trump Ashtuka
Ikulu ya Kremlin jioni ya Jumatatu ilitangaza kuwepo kwa mawasiliano ya simu kati ya marais wa Urusi na Marekani, na kubainisha kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, alishtushwa na shambulio la ndege zisizo na rubani (droni) la Ukraine dhidi ya makaazi ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
-
Florida Yatangaza “Ikhwan al-Muslimin” na “Baraza la Mahusiano ya Kiislamu-Kimarekani (CAIR)” kuwa Mashirika ya Kigaidi
Jimbo la Florida nchini Marekani limetangaza rasmi kwamba kundi la Ikhwan al-Muslimin na Baraza la Mahusiano ya Kiislamu–Kimarekani (CAIR) ni mashirika ya kigaidi ya kigeni.
-
Maduro: "Trump ameongeza umoja wa kitaifa nchini Venezuela"
Rais wa Venezuela amesema: Tuhuma zisizo na msingi za Trump dhidi ya Venezuela zimeongeza umoja na mshikamano wa watu na serikali ya Venezuela.
-
Araqchi: Amerika haina haki ya kulazimisha (na kuelekeza) sera ya kigeni ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Washington haina haki ya kulazimisha siasa za nje za Iran, na kuitaka kusimamisha mara moja mauaji yake kwa watu wa Yemen.