kumbukwe kuwa Kuna askari wa Marekani pia aliwahi kujiua mwenyewe huko huko Marekani mbele ya ubalozi wa Israel mjini Washington DC.