LUCAS

  • Marekani Yazindua Droni ya LUCAS ikiiga moja kwa moja Droni ya Shahed-136 ya Iran

    Marekani Yazindua Droni ya LUCAS ikiiga moja kwa moja Droni ya Shahed-136 ya Iran

    Fikra hii ya kutengeneza Droni ya LUCAS imetokana na mshangao mkubwa ilioupata Marekani kutoka kwenye Droni Shahid - 136 ya Iran na uwezo wake katika Uwanja wa Kivita, kiasi kwamba Marekani ikaona Iran imepiga hatua kubwa katika masuala ya teknolojia ya Kuzalisha zana za Kivita na za gharama nafuu. Hilo liliifanya Marekani kuwaza kukopi Droni hiyo ya Iran hatimaye kuja na Droni yao waliyoiita LUCAS.