Machi
-
Kurejea Mapendekezo ya Mwisho ya Kiongozi Shahidi; Sehemu ya Saba: Suluhisho ni Kuwa Imara Zaidi
“Kuimarika na kuwa na nguvu zaidi” lilikuwa pendekezo muhimu zaidi la Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano wake wa mwisho na wanafunzi wa vyuo vikuu. Hili ni hitaji la kimkakati kwa ajili ya kuilinda nchi katika nyanja zote, jambo ambalo pia lilisisitizwa katika ujumbe wa kwanza wa Kiongozi mpya mwenye hekima na kijana wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Brigedia Baqerzadeh: Qatar Inawashikilia Marubani Watatu wa Iran
Brigedia Baqerzadeh amesema Qatar inawashikilia marubani watatu wa Iran waliotekwa wakiwa hai baada ya ndege zao za kivita aina ya Sukhoi-24 kuanguka wakati wa mashambulizi ya mwezi Machi, huku wakiwa hawajaruhusiwa kuwasiliana na familia zao kwa muda wa miezi sita.
-
Mazungumzo yaendelea kwa ajili ya kufikia makubaliano ya kunyang’anya silaha Gaza / Kikosi cha Indonesia chatarajiwa kuwasili mwezi Machi
Katika muktadha wa kunyang’anya silaha huko Gaza, mapendekezo mengi yamewasilishwa. Inabakia kuonekana iwapo Hamas na makundi ya muqawama watakubali kikamilifu suala hili. Hapo awali, mazungumzo yalihusu tu silaha nzito, lakini sasa yanajumuisha pia silaha za mtu binafsi.